Anderlek Prison or School? Who is at Fault?

Patrick Abrah

Patrick Abrah

Member
Joined
Jul 12, 2019
Messages
7
Points
45
Patrick Abrah

Patrick Abrah

Member
Joined Jul 12, 2019
7 45
Yaani nimeshindwa kukuelewa kabisa japo unaonekana una kitu cha msingi, tafadhali rejea kwa ufafanuzi ..
Umesoma pale?
Nilimuahimisha binti yangu baada ya kunionyesha makovu ya bakora nikampeleka Queen of family ambayo ni shule nzuri zaidi kwa performance kuliko Anderlek na zipo jirani.....
[/QUOTE
nilisoma primary ila niliogopa kwenda o level sababu ya fimbo na unsocial life there in which nilikuja kujua kuwa i was leaving an unsocial life mpaka nilipoenda a new xcul shuel haina interclasses,nouh debate, hamn clubs,sports zenyew n once au hata twice a month for children kwel who need execirses for there body growth we really missed alot of things back then abt stick n roha's na anderlake prblm bt sociality n a prblm of many xcul we childrens tunakuwa wid that less confidence en more cowardness in us
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
706
Points
500
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
706 500
I don't know the school, nor the OP. Have no horse in the fight. Does not know the truth of the matter.

That said, nina tatizo la kusikia mashule yanayoshupalia maksi za matokeo, at the expense of student's psyche and their general emotional well-being, and other forms of intelligence. Wanadhani wazazi tunataka kuona maksi tu za wanafunzi.

Shule yoyote inayotoa adhabu kwa mwanafunzi kwa sababu za kitaaluma inastahili kufutiwa usajili.

Adhabu zitolewe kwa makosa ya kinidhamu tu -- na tena adhabu hizo zizingatie miongozo ya utoajii adhabu iliyowekwa na mamlaka husika.
 

Forum statistics

Threads 1,325,697
Members 509,266
Posts 32,199,810
Top