muuza ugoro JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 334 Reaction score 61 Apr 29, 2012 #1 wakuu kama kuna mtu ameliona lile tangazo kua and 1 wanakuja bongo, sasa wameandika saa 10 mchana, mi cjaelewa ni saa 10 am au pm? kwa anaejua tafadhali
wakuu kama kuna mtu ameliona lile tangazo kua and 1 wanakuja bongo, sasa wameandika saa 10 mchana, mi cjaelewa ni saa 10 am au pm? kwa anaejua tafadhali