ANC kupoteza Viti vingi vya Ubunge baada ya Miaka 30

ANC kupoteza Viti vingi vya Ubunge baada ya Miaka 30

Shida ya Tanzania mgombea ni msaliti Lisu.

#tutashitakiwa MIGA tukidai haki ya madini yetu.
Vijana wa SA wana alternative. Sisi alternative tunayopewa eti ni ni mtu ambaye dishi limeyumba mpaka linataka kuanguka. Sikurubu zote zimelegea, tena wazi wazi, eti ndiyo mbadala wetu!
Mimi hata sielewi hawa watu sijui wanatuonaje!?
 
Vijana wa Tanzania ni wajanja sana na wanajitambua kuliko wale wa Africa Kusini tuliowasaidia kupata Uhuru

CCM liangalieni hili kwa umakini mkubwa

Mlale unono 😀🌟
Tanzania bado sana kwa vijana kuamka na kujua haki zao mbele ya Box za kura.
Vijana weng n wapo cheap sana wananunulia kwa Kofia, Tshirt, Vipande vya Khanga Plus 5000 ya kula.
20years later tutakua na vijana wakakamavu. Ambao watakua na nguvu za kuhoji. Nakupiga chini Chama.
 
Vijana wa Tanzania ni wajanja sana na wanajitambua kuliko wale wa Africa Kusini tuliowasaidia kupata Uhuru

CCM liangalieni hili kwa umakini mkubwa

Mlale unono 😀🌟
Africa kusini uchaguzi ndio unaweka viongozi madarakani. Hapa kwetu mwenyekiti wa ccm na genge linalojiita system ndio wanaamua nani atangazwe mshindi bila kujali kura zinasemaje.
 
Vijana wa SA wana alternative. Sisi alternative tunayopewa eti ni ni mtu ambaye dishi limeyumba mpaka linataka kuanguka. Sikurubu zote zimelegea, tena wazi wazi, eti ndiyo mbadala wetu!
Mimi hata sielewi hawa watu sijui wanatuonaje!?
Umeongea utoto gani hapa dogo?
 
Mkubwa, nimesema tupeni alternative ya maana ili tuwaadhibu ccm 2025. Kama ni huyo jamaa yetu ambaye upstairs hakuko balanced, basi mtasubiri sana.
Umenipata hapo?
Huwezi kuwaadhibu CCM bila kufanya National political reform.
Hata CCM mwenyewe bila kuwepo reform hataweza kuleta mageuzi ya kisiasa na uchumi kwa kiwango kikubwa,anategemea upeo wa mtu mmoja kwa kudra za Mwenyezi Mungu.Kesho akija mwingine tofauti nchi itasaga meno.
Kuwa na political party za kumwaga sio kigezo cha key performance indicator kubwa.
As a nation we are still in darkness yawezekana hatuna tofauti na Haiti,we are doomed nation.
 
Kwani hapa uwa tuna uchaguzi? Yani Kailima awe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, alafu tuwe na uchaguzi?
Uchaguzi ungefanyika CCM haipati kura.
Nchi masikini lakini ina chaguzi mbili, halafu hatufanyi uchaguzi.
 
Back
Top Bottom