Ujaelewa swali je anapokuwa anamwaga au wewe kipindi ambacho unataka kumwaga yaani mnakuwa katika situation gani je kipindi ambacho mnakuwa mmepandisha manyanga ya kumwaga?katkat ya sex
Ila sababu ilikuwa nini???Hii niliwahi kuuliza inasababishwa na nini?
Brother, nakushauri umuache tu maana ipo siku utapata kesi ya mauaji.
Hata mimi nilimuacha gf wangu niliyempenda sana. Ila sikumwambia sababu ya kumuacha.
Cc@Mshana Jr
(Niliwahi kukuuliza chanzo cha tatizo hili)
Ujaelewa swali je anapokuwa anamwaga au wewe kipindi ambacho unataka kumwaga yaani mnakuwa katika situation gani je kipindi ambacho mnakuwa mmepandisha manyanga ya kumwaga?
kwangu mm n jambo la msingi.by the way tunatofautiana kwa namna moja au nyingne.mahitaji ya msingi ya binadamu ni kula, kuvaa, kupata pa kulala na kuwasiliana na binadamu wenzako.
sex sio ndio maana wafungwa hawapewi ruksa na mapadri na masister na matowashi
hili jipya nami nasubir jibu
hili jipya nami nasubir jibu
Me nilikuwa nae mmoja alikuwa anazimia kipindi anapomaliza nadawa nilielekezwa nailimsaidia ndiomana nakuuliza wakwako anazimia mkiwa mmefikia hatua ganinmeelewa ndo maana nmekujibu.ayo mengne unayouliza n kulazmshna kujibu sehem isiyokusudiwa.
Ila sababu ilikuwa nini???
kwakweliamini.hii dunia
amnaga jipya chini ya jua.n kukabilana na Hali inayotokea
Jambo la kawaida hilo, nishakuaga na demu wa hivyo miaka zaidi ya minne. Ndiyo kilimanjaro yake hiyo.jamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.