2.5? Kanunue boxer
Natafuta Toyota vitz inayouzwa ya million angalau 2.5 hadi 3 itategemea
Zile za kuvaa au?
Kama pesa ipo mkononi nakuletea leoleo, hakikisha winch inafika hadi uani kwako nakutulia mzigo
Natafuta Toyota vitz inayouzwa ya million angalau 2.5 hadi 3 itategemea