elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
kama kuna mwenye hyo simu ikiwa katika hali nzuri na kwa hyo bei ikiwa na charger na ear phone anaweza ni pm tufanye bzness

love za kupotea?kumbuka no guarantee wala warranty love jipigepige uende dukani
kama kuna mwenye hyo simu ikiwa katika hali nzuri na kwa hyo bei ikiwa na charger na ear phone anaweza ni pm tufanye bzness
hahaha nataka kumpa nyumba ndogo sa kwenda dukani ntafikiska. mekumiss love
aaa poa love kama nyumba ndogo hata techno inamfaa.Asikutie umaskini love.
Hahaha love nshaipata wajua jf ukitaka hata gari la laki 2 unapata