Anayeuza mashamba morogoro.

Anayeuza mashamba morogoro.

Joined
Nov 5, 2012
Posts
38
Reaction score
3
Natafuta mashamba ya kununua, yawe mkoani morogoro Tanzania na niweze kulima kilimo cha umwangiliaji. Ambaye anayo naomba anitafute tuongee.
 
Lipo shamba dumila na Lina visima vya maji ukubwa Nyumba ukubwa hekari 105 bei 600 million na Lina hati
 
Natafuta mashamba ya kununua, yawe mkoani morogoro Tanzania na niweze kulima kilimo cha umwangiliaji. Ambaye anayo naomba anitafute tuongee.
Nina hekari tano, kijiji cha maji chumvi,mkundi, kilomita 20 toka msavu barabara ya dodoma, kilomita tisa toka bara bara kuu. nicheki:0713-039875.Laki sita kwa kila heka
 
Kuna viwanja eneo la mindu. Anyone with interests tuwasiliane
 
Vimepimwa??? Ni vya ukubwa gani??
Eneo nikubwa sana chief, unaongelea kuhusu 20+ of Ha. Halijapimwa bado, ila liko ndani ya manispaa. Kutoka barabara kuu ya moro-iringa ni almost dakika tano kwa mguu
 
Owk poa boss ngoja nianze kufanya research. Am sure nitakufikia tu wewe mwenyewe kama ndio muhusika kwa kukutafuta physically maana naona bei haya ya ha hujapenda nijue.
 
Usijali kiongozi. Anytime.
 
habari! shamba la hekari tano linauzwa morogoro-Ifakara.hekari moja ni Tsh400,000.mawasiliano:0672111352
 
Hizi hekari bado zipo?
Nina hekari tano, kijiji cha maji chumvi,mkundi, kilomita 20 toka msavu barabara ya dodoma, kilomita tisa toka bara bara kuu. nicheki:0713-039875.Laki sita kwa kila heka
 
Ninahitaji, nakupataje?

Back
Top Bottom