Vipi ulipata mkuu, mi mwenyewe natafutaHabari zenu,
Kwa yeyote anaeuza ama kukodisha account ya Bolt naomba anicheck inbox.
Umeshapata mkuuVipi ulipata mkuu, mi mwenyewe natafuta
Bado mkuuUmeshapata mkuu
Kweli hali ngumuBado mkuu
Gari hakuna leta account posho ipoMimi natafuta gari ya kazi kama ikipatikana
Kama bado unahitaji nitafute 0712518770Vipi ulipata mkuu, mi mwenyewe natafuta
Mimi ninayo accountVipi ulipata mkuu, mi mwenyewe natafuta