Anayemfahamu Choku almaarufu 'Shangazi'

Cheusi mangara yule nilianza kumuona IG…. Ni shoga pro max… ana matusi balaa…

Ana taqo kama wa kike
Ni kama vile haishi huku Africa..
kazi ni kusifia gayism..
Anaishi Ujerumani, ila mwanzo alikua anaishi .
 
Choku ni mkenya wa Mombasa aliyehamia ujerumani kama mkimbizi gay.. Anapostig jinsi alivyohustle kukaa kwenye camp ya asylum seekers. Saivi kashapewa uraia Ana passport ya ujerumani ndo maana Yuko free kufanya anayoyafanya.
Hata mwanzo aliishi Ufaransa, sema kuwa Gay kuvuka ughaibuni ni simple tyuuh, tena ukiwa na ujuzi au Elimu ndo unaulaa hatareee.
 
shangazi anichekeshaga tsup, yaan sijutii kumfaham. Ngoja nitamubia ajiunge JF. Woiiiiiih.
 
Mbona ksma unampromote?? Wengine hatumjui kabisaa na hatutaki kumjua
Hata mimi ndio kwanza namsoma hapa.
Huyu mleta mada ana promote huu ushenzi.

Nimekuwa nikiona watu wanapenda kuongelea mambo hayo humu kana kwamba wanayalaani kumbe ni mkakati wa kuya promote
 
Hata mimi ndio kwanza namsoma hapa.
Huyu mleta mada ana promote huu ushenzi.

Nimekuwa nikiona watu wanapenda kuongelea mambo hayo humu kana kwamba wanayalaani kumbe ni mkakati wa kuya promote
Inawezekana huyo mtoa mada ndio huyo jamaa mwenyewe anajitangaza. Mods siku hizi wanaacha tu mambo kama haya sijui kwanini? Miss please futeni huu ujinga.
 
Kwanini wanawake wanawapenda sana hawa watu wa aina hii? Hivi hata watoto wao wa kiume wakiwa hivi watakenua meno?
 
Back
Top Bottom