Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,118
- 55,542
Kuna hii dhana ya watu kutumia ulozi ili kufanikiwa kibiashara, kupandishwa vyeo, kuteuliwa n.k
Na wengine wanaenda kwenye madhehebu, yenye uelekeo huo; utumiaji maji, chumvi, mafuta, kutoa sadaka kubwa n.k
Ingawa haya mambo ufanyika gizani; ila kwa sisi jamii, tunakuja kuona matokeo tu; mara jamaa ana biashara kubwa, mara jamaa amekuwa CEO n.k
Swali la kujiuliza; katika hayo mazingira, anayelogwa ni mpandisha cheo au mpandishwa cheo? Na katika biashara, anayelogwa ni mnunuzi (wateja) au mwenye biashara?