Anayejua namna ya kukomesha huu wizi wa Swift fund app naomba anisaidie

jsam13

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika!

Unamaliza deni, wa naendelea kukusumbua kila siku, na kila siku anakupigia mtu mpya, wanakuchafua kwa kuwatumia msg watu wako walio kwa phone book.

Anayejua namna ya kukomesha hili plz, asaidie njia ya kufuata.

Screenshot_20240925-095844.jpg
 
Kama unauhakika umemalipa we tulia Mkuu. Kuna nyuzi nyingi humu ndani zinazungumzia juu ya hizi apps za mikopo.

Hawa wengi nao ni matapeli. Na kwa bahati mbaya hapo wanamonitor taarifa zako nyeti sana za simu upande wa ujumbe na majina.. Nenda kwenye setting utoe uhalali wa wao kutumia taarifa zako binafsi.
 
Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika!

Unamaliza deni, wa naendelea kukusumbua kila siku, na kila siku anakupigia mtu mpya, wanakuchafua kwa kuwatumia msg watu wako walio kwa phone book.

Anayejua namna ya kukomesha hili plz, asaidie njia ya kufuata.
Bado wapo huko Play store mana naona wengine wote wamefungiwa. Mm hao ndo nawapendaga sasa
 
Namna bora na ya uhakika ni kutokukopa huko mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom