Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,599 May 3, 2017 #21 Mamndenyi said: Weee unataka kumkata mama wa watu miguu; Kijana mmoja alishauriwa hivyo akiwa na fungus, ugonjwa ukabadilika ukawa kansa; Click to expand... Tiba mbadala kutoka kwa watabibu zevezing ni mzevezo, utakufa
Mamndenyi said: Weee unataka kumkata mama wa watu miguu; Kijana mmoja alishauriwa hivyo akiwa na fungus, ugonjwa ukabadilika ukawa kansa; Click to expand... Tiba mbadala kutoka kwa watabibu zevezing ni mzevezo, utakufa
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,882 May 3, 2017 #22 elfu 22 tu pale village supermarket.zipo za bei ya chini pia
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 May 3, 2017 #23 Angekuwa siyo mama ningekuambia "weka picha"!!.......ila kwa sababu ni Mama inabidi tu tutafute dawa,hamna namna!
Angekuwa siyo mama ningekuambia "weka picha"!!.......ila kwa sababu ni Mama inabidi tu tutafute dawa,hamna namna!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,731 May 4, 2017 #24 Bujibuji said: Tiba mbadala kutoka kwa watabibu zevezing ni mzevezo, utakufa Click to expand... Na wewe unayo?
Bujibuji said: Tiba mbadala kutoka kwa watabibu zevezing ni mzevezo, utakufa Click to expand... Na wewe unayo?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,599 May 4, 2017 #25 Mamndenyi said: Na wewe unayo? Click to expand... nilitoe Wapi? Kwenye hii Subaru?