Wakuu, nina Batery kubwa ya gari kama ile ya TREKTA au ya SCANIA, arafu pia nina Laptop yangu. Sasa nataka niitumie hii Laptop kwa kutumia hii Baterry. Je, kuna kifaa cha kuongezea hapo ili connection iweze kufanya kazi?.

au hata power backup zile za computer zinakufaa. wanaita UPs. huwa zinakuja na battery ndogo kama ya pikipiki ya 24Ah. sasa ukiunga hiyoo yako itakuchukua muda mrefu kabla ya kurecharge. hizi si lazima upate mpya hata maofisini huwa zinakufa sana na kuzitupa. kufa yake maana yake battery tu imekufa, we ukipata weka battery lako....
Well, kama laptop yako ni 12v DC unaweza tafuta cable yenye jack sawa na hiyo laptop na uka connect direct kwenye battery terminals without having inveter in between.
Lakini kama laptop ni above 12v, ni lazima ununue inveter ili ku change DC to AC ili ucconect laptop power adapter
Utakapoamua kununua inveter, hakikisha unanunua sign wave inveter with atleast 150watts, don't buy chinise, indian mades are in best quality