Hivi St Marys haipoNimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani ya 10 bora kitaifa.
Anayejua ada zake na utaratibu wa kujiunga huko anijulishe nianze maandalizi mapema ya kuwapeleka wanangu huko mwakani 2023, shule nimezipakanga kulingana na ubora wake ktk kipindi tajwa kulingana na utafiti na uchaguzi wangu .
1. St. Francis girls (Mbeya)
2. Kemebos mix (Kagera)
3. Canossa girls (Dsm)
4. Bethel sabs girls (Iringa)
5. Marian girls (pwani)
6. Anwarite girls(kilimanjaro)
7. Precious blood girls (Dsm)
8. Bright future girls (Dsm)
9. St. Aloysius girls (pwani)
10. Ahmes (pwani)
12. St. Augustine tagaste(Dsm)
Haipo HiyoHivi St Marys haipo
Bado Mahitaji Ya Mtoto Anapoanza Kidato Cha IZote sio chini ya 4M kwa mwaka
andaa mpunga wa kutosha hapo, AROUND 2M+ NA KUENDELEA HUKONimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani ya 10 bora kitaifa.
Anayejua ada zake na utaratibu wa kujiunga huko anijulishe nianze maandalizi mapema ya kuwapeleka wanangu huko mwakani 2023, shule nimezipakanga kulingana na ubora wake ktk kipindi tajwa kulingana na utafiti na uchaguzi wangu .
1. St. Francis girls (Mbeya)
2. Kemebos mix (Kagera)
3. Canossa girls (Dsm)
4. Bethel sabs girls (Iringa)
5. Marian girls (pwani)
6. Anwarite girls(kilimanjaro)
7. Precious blood girls (Dsm)
8. Bright future girls (Dsm)
9. St. Aloysius girls (pwani)
10. Ahmes (pwani)
12. St. Augustine tagaste(Dsm)
Number 8Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani ya 10 bora kitaifa.
Anayejua ada zake na utaratibu wa kujiunga huko anijulishe nianze maandalizi mapema ya kuwapeleka wanangu huko mwakani 2023, shule nimezipakanga kulingana na ubora wake ktk kipindi tajwa kulingana na utafiti na uchaguzi wangu .
1. St. Francis girls (Mbeya)
2. Kemebos mix (Kagera)
3. Canossa girls (Dsm)
4. Bethel sabs girls (Iringa)
5. Marian girls (pwani)
6. Anwarite girls(kilimanjaro)
7. Precious blood girls (Dsm)
8. Bright future girls (Dsm)
9. St. Aloysius girls (pwani)
10. Ahmes (pwani)
12. St. Augustine tagaste(Dsm)
Kweli mkuuFoundation na elimu bora kwa upande wangu ni mtoto aipate kuanzia Standard 1-6 & Form 1-4. Baada ya hapo uko kwingine ni mbwembwe tu.