Anayehitaji office maeneo ya Mwenge!

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
367
Reaction score
293
Kwa yeyote mjasiliamali au shughuli yeyote!
Unahitaji ofisi ya kufanyia shughuli zako? Nichek pm, kuna ofisi iliyokuwa tayari kabisa, ni wewe kuja na laptop yako tu au kitendea kazi chako chochote, coz meza plus kiti kipo tayari, nipm fasta!
 
Laki moja kwa mwezi!

Mbona unaweka taarifa nusu nusu? Utajibu wangapi kwa staili hii? Weka taarifa za kutosha ikiwezekana na picha ya ofisi kabisa, alah!
 
Namaanisha ofisi mbili kwa sehemu moja, jamaa ni ofisi yake, so kwa sababu ni kubwa ameongeza fanicher kwa atakaehitaji office wawe wote humo!
 
Namaanisha ofisi mbili kwa sehemu moja, jamaa ni ofisi yake, so kwa sababu ni kubwa ameongeza fanicher kwa atakaehitaji office wawe wote humo!
du, no privacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…