Anayehitaji mdada wa cofee shop

Anayehitaji mdada wa cofee shop

Huyu nae siledi moja vichwa vya habari tofauti sijajua ana maana gani.
 
Mbali na coffee kama ni duka la bidhaa nyingine uko tayari? Unakaa wapi? Una wadhamini?
 
npo tayari kabisa naishi kinondon dar es salaam nina wadhamini ndio
 
npo tayari kabisa naishi kinondon dar es salaam nina wadhamini ndio

Kinondoni,madada wa huko lazima niwaulize hili kwanza kama interview yao
Unamiaka mingapi?
Unamume au mtoto?
Unaishi kwako au kwenu?
Uzoefu wa kazi
na matarajio yako ya mshahara mbali na nauli iwe kiasi gani.

Interview yangu imeishia hapo
 
maish n magmu so mshahra wowote napokea ila unaolngna na kaz na kma ch chn n elfu sabin
 
hahahaha wateja wanaangalia sura kakwambia nan

Duka lazima liwe na reception nzuri ya wahudumu ili uweze kuvutia wateja... Hauwezi kuwa na wahudumu wenye sura zenye muonekano kama ngozi ya goti afu ukategemea biashara yako itavutia wateja
 
Duka lazima liwe na reception nzuri ya wahudumu ili uweze kuvutia wateja... Hauwezi kuwa na wahudumu wenye sura zenye muonekano kama ngozi ya goti afu ukategemea biashara yako itavutia wateja

kamwe usimdhihaki mwenye njaa,acha dharau
 
be care. kuna vijeba humu vinajifanya vikambako balaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom