ANAYEHITAJI KUOLEWA

ANAYEHITAJI KUOLEWA

MPALESTINA MWEUSI

Senior Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
140
Reaction score
117
Jamani kwa Mwanamke mwenye sifa hizi, Mweupe, asiwe mfupi, asiwe mwembamba sana, asiwe na miaka inayozidi 30, awe muislam, asiwe mwenye watoto, basi tuwasiliane inbox kama yupo tayari kuolewa, mie tayari nina wake wawili hivyo yeye atakuwa wa tatu.
 
Hoja yako ni nzur tatizo hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho
[HASHTAG]#chawakota[/HASHTAG] (chama cha wasoma koment tz)

kwa mujibu wa mafundisho ya uislam, mtu mwenye akili ni yule anayehesabu nafsi yake na kufanya matendo yatakayomfaa siku ya hukumu na mjinga ni yule anayefata matamanio ya nafsi yake na anamatarajio siku ya hukumu mbele ya Muumba atapata nafuu/hataadhibiwa,

Kama mjinga unayemzungumzia wewe ni mwanamke asiyeenda shule za sekula na mwenye akili ni aliyeenda shule za sekula basi upo wrong direction unatakiwa kujitathmini.
 
Jamani kwa Mwanamke mwenye sifa hizi, Mweupe, asiwe mfupi, asiwe mwembamba sana, asiwe na miaka inayozidi 30, awe muislam, asiwe mwenye watoto, basi tuwasiliane inbox kama yupo tayari kuolewa, mie tayari nina wake wawili hivyo yeye atakuwa wa tatu.
Dada yangu ni mweupeeeee zeruzeru, karibu sana kuleta posa
 
Hiyo ni kwa wale wanaohitaji kuvaa shela ili watoe mkosi
 
kuna dada angu tulimfanya msukule vp huyu atakufaa eee ?
 
Hahaha,kumi wote hao mkuu,inabidi uanzishe uzi sasa!
Hahahaaa inabidi nianzishe Uzi ..maombi yako ni muhimu ili nifanikiwe ...hao kumi wanatosha kwa matumizi ya home ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom