Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
- Thread starter
-
- #21
Uliposema 'zote' ulimaanisha nini!?
Sio wa kwanza huyu. Walishakuja wengine kibao. Mwingine akitangaza ana vitabu, alipopelekewa request kaingia mitini!Uliposema 'zote' ulimaanisha nini!?
That's why i like JF!!Mkuu gemu ni sawa na gazeti. Kama gazeti hujalisoma ni jipya kwako bila kujali ni la mwaka gani.
Nataka niwe naweza kucheza games za PS2, PS3, n.k kwenye Computer, fanya makalatee basi!!Aise mi ninazo software yeyote unayotaka na hakuna longolongo. Yeyote mwenye hitaji aniambie nilikuwa sijuwi kama kuna wengi hivi wenye hii shida. Okay leteni request zenu.
Nataka niwe naweza kucheza games za PS2, PS3, n.k kwenye Computer, fanya makalatee basi!!
Cha msingi wafundishe watu jinsi gani ya kutafuta na kudownload hizo Applications, bila kulipia, either thru torrents au server za bure Kama 4shared.com etc, but unaposema una apps zote, natia Shaka Kama utaweza kuwapatia, coz there are millions of computer Apps, Na urahisi kwa mtumiaji unatofautiana kutoka kwenye application moja to nyingine
Nipo Dar pia, unapatikana wapi nkuletee!?Sawa, kuna configurations na installation zinatakiwa zifanyike ili pc yako ipate uwezo huo, kwahiyo ni lazima nikutembelee ulipo. Mimi nipo dar, wewe upo wapi?.
Una akili sana mpwaCha msingi wafundishe watu jinsi gani ya kutafuta na kudownload hizo Applications, bila kulipia, either thru torrents au server za bure Kama 4shared.com etc, but unaposema una apps zote, natia Shaka Kama utaweza kuwapatia, coz there are millions of computer Apps, Na urahisi kwa mtumiaji unatofautiana kutoka kwenye application moja to nyingine
sina hiyo mtu wangu
hizo sinaga
Kumbe wewe una software gani sasa mtu wangu? Mimi nafikiri unge edit heading ya topic yako, halafu orodhesha zile ulizo nazo, ili wadau wasipate usumbufu wa kuuliza uliza bila mafanikio, unless unatafuta cheap popularity hapa!
Hii program uko nayo?
[h=1]Inventoria Inventory Software[/h]