Anayefahamu tarehe ya kuripoti chuo cha (NIT) 2016/2017

Degree vyuo vingi vinafungua tarhe 15 october kutokana na muongozo wa tcu
Mbona Udom wanafungua Tar 5 Nov.Sema vyuo vingi vya serikali kikiwamo NIT na Udom vinaongozwa kwa maamuzi ya serikali ko usishangae kufungua ikawa mwezi Nov mwishoni
 
N kwel wanafungua tarehe 12 wadau? Coz kwenye website yao amna tarehe ya kufungua kama n kwel tupe ae uhakika
 
mwaka wa kwanza anijuze.
sisi mwaka jana tulianza kuripoti mwezi november tarehe za katikati lakini kwa ratiba ilivyokaa inawezekana mkaripoti mwezi november mwishoni au december mwanzoni.... kuhusu admission letter huwa hazitumwi unafuata mwenyewe chuoni
 
TuPeane taarifa za ukwel wadau juu ya kufunguliwa chuo cha N.I.T mimi nimepangiwa hapo ila cjui chuo kinafunguliwa lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…