habari....nimeitwa
kwenye usaili post ambazo ziliwekwa hapa jamii forum kwa ajili ya
teaching kwenye hiyo shule iliyopo mwanga-kilimanjaro...
aliyewah fanya kazi,au usaili pale au anayewafahamu kiundani anipe mwanga kidogo kuhusu hawa
jamaa...asanteni