Habari wanajamvi,
Naomba kujua eti anayeamua kufunga ndoa kati ya wapenzi ni mwanamke au mwanaume?,
Maana kuna rafiki yangu mmoja hamuelewi boyfrend wake..
Hivyo napenda kujua je ni sawa mwanamke kumlazimisha mwanaume kufunga ndoa au ni mpaka mwanaume mwenyewe aamue?