Kadi ninayo,nimekupim details zaidKiasi gani
gari aina gani
Uko wapi
Marejesho baada ya muda gani
Gari ipo kwenye jina la nani.
Kadi unayo?
AKadi ninayo,nimekupim details zaid
Kiasi gani
gari aina gani
Uko wapi
Marejesho baada ya muda gani
Gari ipo kwenye jina la nani.
Kadi unayo?
Sio wote wapiga stori humu.Sidhani kama unaweza kupata msaada hapa kwenye kijiwe cha stori.
Sio wote wapiga stori humu.
Wapo wa kila aina huku, wapo wasaka fursa wengi tu...watu wanapata, wanapigwa, na uzuri hata Mtu akipigwa anarudi humuhumu kutoa ushuhuda.