Anaweza chaguliwa kusomea MECHANICAL ENGINEERING pale UDSM au DIT..???

bandah

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
68
Reaction score
19
Hi wana jf

Mdogo wangu amehitimu form six mwaka huu kwa kupata matokeo yafuatayo

Physics-D
Chemistry-C
Advanced Mathematics-C

Yaani division two of point 10....

Sasa anawasiwasi kama atachaguliwa kwa hiyo selection yake au lah....

Hebu wazoefu mpeni ukweli kama kwa ufaulu huo atapita au aangalie utaratibu mwingine kabla ya dirisha kufungwa....

Waungwana nawasilisha kwenu....

Natanguliza shukrani zangu...

Karibu tushirikiane kumjuza bwana mdogo
 
Mbona wameshafunga tayar...
Kwahyo alama aliyopata asijal anaweza akapat aombe Mungu tu.
Kama ataweza kupenya kulingana na competition ilyopo
 
Asante kwa maoni yako...

Hapana bado hawajafunga mpaka tar 31/8
 
Hi wana jf

Mdogo wangu amehitimu form six mwaka huu kwa kupata matokeo yafuatayo

Physics-D
Chemistry-C
Advanced Mathematics-C

Yaani division two of point 10....

Sasa anawasiwasi kama atachaguliwa kwa hiyo selection yake au lah....

Hebu wazoefu mpeni ukweli kama kwa ufaulu huo atapita au aangalie utaratibu mwingine kabla ya dirisha kufungwa....

Waungwana nawasilisha kwenu....

Natanguliza shukrani zangu...

Karibu tushirikiane kumjuza bwana mdogo
Atapata bila shaka. Aanze na UDSM,then DIT.
 
Inategemea na competition itakuaje ila sifa za kusoma hiyo kozi anazo
all the best kwa dogo mkuu
 
inategemea na competitions jaman ila ajaribu vyote anavyohitaj huenda atafanikiwa kwa uwezo wa Mungu
 
Vipi kwani mechanical iko poa udsm zaidi ya dit au...????
Yeah...mechanical iko vizuri zaidi udsm kuliko dit na yafaa sana kwa waliotokea kidato cha sita. Hawa dit mifumo yao inawafaa zaidi waliotokea diploma.
 
Daaaah asante sana kamanda hata me sikulijua hilo umenifumbua
 
Mkuu kwa uzoefu wangu mdogo t na kwa matokeo ya mdogo wako ,anaweza kuchaguliwa kokote kati ya udsm au d i t ,choice n yke t,mwaka jna ufaulu ulikua mkubwa kdg kulingnisha na mwaka huu na still tulioona sample za matokeo kma hayo wingi wakichaguliwa udsm n d i t.

Kuhusu ,ubora kwa kweli vyuo vyote hivo vipo juu chochote huwez kujuta pindi ukisomea kwa Tz hii,mara nyingi vijana wengi hupendelea zaid udsm coz ya jna la chuo t ,lkn mbali ya hivo academic performance mi nawakubali wote ...the choice is ur
 
Thank you very much kiongoz God bless you....hata mm nafarijika kwa maelezo yako...once again thanks
 
Hi wana jf

Mdogo wangu amehitimu form six mwaka huu kwa kupata matokeo yafuatayo

Physics-D
Chemistry-C
Advanced Mathematics-C

Yaani division two of point 10....

Sasa anawasiwasi kama atachaguliwa kwa hiyo selection yake au lah....

Hebu wazoefu mpeni ukweli kama kwa ufaulu huo atapita au aangalie utaratibu mwingine kabla ya dirisha kufungwa....

Waungwana nawasilisha kwenu....

Natanguliza shukrani zangu...

Karibu tushirikiane kumjuza bwana mdogo
Mdogo wako au ww mwenyewe mkuu nakujua
 
Kama waombaji hawatazidi sana idadi ya nafasi za kudahili (hapa nina maana ya competition), bila shaka atapata hiyo fursa ya kusoma MECHANICAL ENGINEERING. Vigezo ametimiza.
 
Back
Top Bottom