Anawatakia usiku mwema....!!!

aseee mbona unaeka picha ya mwanangu bila ruhusa ya mi shemej yako au dada yko?!
 
Asante naye pia mtoto mthuri.
 
Baba yake sina neno hapa, nimefanana sana na mwanangu
 
Wakati mwingine muwe mnafikiri kabla ya kupost picha mitandaoni.Ulichofanya ni kinyume na sheria,kupost picha ya mtoto.Nina uhakika hakuridhia ulichofanya hata kama ni mtoto wako.Halafu hapa sio Facebook.Ingekuwa huko Facebook Watu wangekupongeza kuwa na mtoto, lakini hapa tunakuambia umevunja sheria zinazolinda haki za watoto.
 
Mkuu mvumilie tu wala husipaniki kwani hata mtt inawezekana sio wake
 
Sio heshima ku post picha za mtu mtandaoni bila ridhaa ya mhusika
 
Sio heshima ku post picha za mtu mtandaoni bila ridhaa ya mhusika
Hivi we ulibatizwa kwa ridhaa yakk mkuu? If not then kama its my kid then i dont need nobidy judging me what or what not to post
 
Thomas " "three finger brown "luchesse huyo mtu alikuwa khatari sana mambo yake.
 
Hivi we ulibatizwa kwa ridhaa yakk mkuu? If not then kama its my kid then i dont need nobidy judging me what or what not to post

Kama it's were ya kid
but he ain't one. So never repeat same sh*t once again.
 
Hawa watoto wa Facebook huku wanatafuta nn i see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…