Ongezea picha zaidi, Eneo limepimwa? Bei na mawasiliano je?Nyumba iyo kuna mzee anaiuza ipo Mapinga shule bagamoyo, ina umeme, Maji, gypsum board, floor rough, ina room tatu kimoja master, choo Cha ndani cha public, ina sebule jiko,
Ngojea nimwambie apige picha zingine anitumie, ila ni Kubwa nyuma ina kibaraza piaMkuu ungeongeza picha kidogo maana hizi ulizoweka zinaionyesha kama ni ndogo sana i mean inaonekana ilijengwa kwa kubana sana size ya vyumba.
Pia ongeza # za simu biashara kama hii siyo ya kupatana PM.