Anatomical Question on Squirting: Why Only Some and Why So Much Fluid?

Japo nimesoma biology O- Level na ku score C, pia nina C ya Hesabu, Kemia na Phizikia lakini sikwenda PCB, nilikwenda HGL ambako nilikuwa nimejenga vibanda!.
Nisaidie kuhusu anatomy ni nini na physiology ni nini?.
P
Anatomy NI jinsi Tu mwili ulivyokaa in detail wakati physiology unazungumzia mwili unavyofanya kazi (mfano msuli minyuzinyuzi na mishipa ilivyojipanga ni anatomi lakin nini kinafanyika mpaka msuli unajikunja ni phisiology)
 
Pascal Mayalla yaelekea weekend hii ilikuwa ya experiment ya kufa mtu
 
Pascal Mayalla yaelekea weekend hii ilikuwa ya experiment ya kufa mtu
Mkuu Faana , ni kweli ilikuwa ni weekend ya practical ila ilikuwa date May 11, 2012, ila kwa upande wa kula misosi, nimekula sana tuu, saa hizi naelekea 60, siwezi tena kutafuna sana nyama, siku hizi ni mboga mboga tuu.

P
 
Ile sio pee!, pee in harufu and yellowish and salty, ile ni clear, odorless and sticky with viscosity, not salty!, hivyo sio pee!.
P
Mkuu mkojo kuwa na harufu sio jambo la lazima.

Mkojo kuwa na rangi sio jambo la lazima.

Mkojo kuwa na salt sio jambo la lazima.
 
Ntaifanyia research case study iwe wap..🤓🤓🤓
 
Mwanaume rijali na aliyekamilika kabisa
Hiyo hali ya Ke kuyatoa maji
itamfurahisha mno
ataona Fahari sana!
Kiukweli nimekutana na watatu katika maisha yangu
But kamwe sijawahi kuwaza kuwaacha
Kila nikijitahidi huwa najikuta nawatafuta tu
coz ile kugusa tu
Yaani godoro lote maji balaaa
Aiseee acheni maji yana raha yake!
Nawaza kwenda Rwanda na Uganda wallah
 
Je wanapata raha wakati wanatoa hayo maji au wanafeel proud tu ?
 
Clit stimulation ndio kupiga brash huko ndugu, Wahaya wanaita "katerero"
 
Nimewahi experience mwanamke wa kinyaturu kule Singida aki squirt, alifungulia "bomba la maji" godoro likalowa chapa chapa nilishangaa sana. Hii kitu inaweza kumtokea mwanamke yoyote, sio lazima awe wa Kagera, Rwanda n.k
 
Pascal Mayalla ,japo labda it's late, ila kama ulivyoelezea,kuna factors nyingi mpaka mwanamke anaweza kuachia yale makolokolo.

Badhi umesema:
Mwanamke,kwanza kabisa
-kama anayo,lakini kiakili hayuko sawa,unaweza upate kidogo au usipate kabisa.

-mazingira ya maisha,huchangia pia. Wa BK,Rwanda,Uganda,Karagwe,Banyamulenge, wengi wao,hawautesi mwili,na utakuta wanashindia au kulalia maziwa.
Kama kuna yeyote humu anaeelewa neno Igisitura, atasaidia kueleza. Ni aina furani na maziwa,hususani wanyarwanda na waganda hutumia,kwa ajili ya kulegeza mwili na kutengeneza hizo fluids. Hawa watu,maisha yao wanaamini mwanaume ndo mchakalikaji,kazi yao ni kugawa tu mbunye,na kuhakikisha yanatoka. Achana na maisha ya sasa hivi hali imekuwa mbaya,wanaishi kivyovyote.
Zamani,koo hizo walikuwa na mila za kuvuta sehemu za siri za mwanamke, zinatengeneza kama vimikia vya panya,na kazi ikiwa ni kuleta vibe ya tendo husika,na mwenye nayo ikiwa ni rahisi kuachia hayo maji. Enzi hizo,kama miaka 30 na kurudi nyuma,ukiwa huna,lazima ataolewa mke wa 2, na itajulikana hizo fluids huna.
-kwa sasa,wapo ambao hawana hizo,na wamekulia mazingira ya maziwa. Wanayo mengi sana ajabu.
-aina ya vyakula inayoongelewa, mfano wa ndizi huko British, mi napingana nayo. Kuna makundi yao,ndizi huliwa kama kawaida. Na wanayo mengi sana. Na wamekulia mihogo,viazi,maharage,......

Kikawaida,inasemekana kila mwanamke alitakiwa awe nayo. Lakini,kiwango chake,kitakuwezesha kujua mazingira mtu alokulia,akikuweka wazi. Mtu kakulia kwenye kuzunguusha mboga mboga,toka utotoni hadi uzeeni,utayapata wapi? Wakati hata kumgegeda ni kumlia timingi,na yeye hukuachia umalize tu haja zako.

Labda la kuongezea,
Utajiuliza kwa nini inasemekana watu hao niliowataja juu,wanasifika kwa umalaya?! Hasa hao wanywa maziwa, wasomi labda wanajua zaidi,ila inasemekana maziwa mengi muilini huchangia kwa kiasi kikubwa kuamsha nyege kwa wanawake. Kitendo kilichosababisha wengi wao kuzaa na ndugu wa karibu,kwa sababu akizidiwa,anamuwekea yeyote mtego,si baba mkwe wala mashemeji zake. Ikumbukwe kwa hili,kuna wenye pepo au limbukeni.
Pia, kuna ufanisi wa mchakataji. Wazinzi professional wanajua. Siyo vuta sukuma itatoa. Na kujua ni wapi ashikwe,kunachangia. Kuna wengine utasikia analalamika,mara mwanaume hafanyi nini,mara nimewahi kukutana na mwanaume kweli kweli. Achana na misifa ya humu JF kwamba wanapiga bao usiku kucha. Mwanamke ukipiga mpaka usikie harufu ya baruti,hupati hata tone.
Saikologikali,yeye kama amekupa kwa mapenzi,na wewe unafanya kwa mapenzi,98% utapata. Ila,kama ametaka,na wewe unamkomoa,au kama wewe unataka,na yeye amekuuzia, hupati kitu.

Kwa hiyo kwa kifupi,mi naamini kupatikana kwake,hutokana na maandalizi,mfumo wa mwili na akili.

Hata kama hana,ukiweza kumuandalia mazingira ya upatikanaji kwa mda furani, utapata tu.
 
Wanawake was songea (wangoni) Ni squirters wazur Sana, nishakutana nao 2 nikiwa Ifakara uko, wote walkua wet ile mbaya😃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…