Anatakiwa binti wa kichaga

Anatakiwa binti wa kichaga

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,157
Reaction score
17,052
1. Age 33-35
2. Awe mchagga
3. Awe anapenda kufanya mila
4. Awe tayari kufunga ndoa ya kimila.

Serieous. Kama vp ni PM
 
hawajui miaka tunapanga wenyewe tu...anaonekana kidogo mfuko siyo mzuri na kama ni mzuri kuzitoa mpaka unyenyekee umfanye kimungu mtu

mwenzangu weh tuwe kama wema na lulu wema hadi leo ana 26 yrs old
 
1. Age 33-35
2. Awe mchagga
3. Awe anapenda kufanya mila
4. Awe tayari kufunga ndoa ya kimila.

Serieous. Kama vp ni PM

Hebu ngoja kwanza........
Hiyo mila unayosemea ni ipi......?......usikute ndio kutoana kafara hapa.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom