KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Ninachokushauri ndg yangu,husipende kuingilia na kufuatilia sana,mambo ya mwanamke wako na mzazi mwenzake ww hayo hayakuhusu nakushangaa unapata tabu ya nini?,wewe hoa huyo mwanamke wako hata kama huyo mtoto atakuwa pamoja na mama yake,kiubinadamu unawajibika kulea pia huyo mtoto kwasababu huko na mama yake,malumbano ya mwanamke wako na mzazi mwenzake kuhusu huyo mtoto ww hayakuhusu,waache wenyewe wapambane kama wataenda ustawi wa jamii au mahakamani ww hayakuhusu,na kama huyo mwanamke wako anataka aishi na mwanae hapo kwako mpokee na lea huyo mtoto tatizo nini kaka?na mama yake unae na unampenda?,mambo ya kusema baba yake huyo mtt ana uwezo ww hayakuhusu kabisa,waache wenyewe wapambane mpaka hapo taratibu na sheria zitakapoamua kama mtoto anabaki kwa mama au aende kwa baba yake,kwahiyo nakushauri malumbano yao achana nayo,na story za mwanamke wako kusema huyu mtt yatima pia ww hayakuhusu, kwanini unaumiza kichwa?,kama baba yake yuko anafuatilia mwanae mwache afuatilie husiingilie na wala story za huyo mwanamke wako kusema mtoto ni yatima husisikilize,kikubwa kwasasa kama huyo mwanamke wako atakuja kuishi na mwanae kwako naomba wapokee na watunze kama mzazi! huyo mtoto hana makosa yoyote,mpaka siku watakapokubaliana na mzazi mwenzake mtoto aende wapi,kwaiyo ww hoa huyo na mwanamke hata kama mwanae atakua nae,siku baba yake atakapomchukua sawa tu,ww utaendelea na maisha na mkeo lkn mambo yao husiyaingilie vyombo vya sheria vipo vitaamua na huyo mtoto husimnyanyapae mtunze hata kama baba yake ana uwezo kwakuwa kuna mgogoro
Kama baba mtoto anataka kumpeleka mwanae boding mshauri mchumba wako akubali.Kama vipi jaribu kwa kujifanya wewe ndo unataka kumpeleka boding angalia pumzi zake kama atakubali ndo uanze kumshauri amkuballie baba mtoto wake kumpeleka mwanae bweni.
Lakini waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake.Vinginevyo ukiacha mawasiliano yao yaendelee watakuwa wanakumbushia enzi.Mpende mtoto wa demu wako.
MAHABA NISHIKE NIFINYANGE NIPIGE GWALA NINYONGE MPAKA NIKUKUFE KABISA...!
Mahaba nigaragaze kama bunge la katiba!!!
Sasa kama ushaamua mahaba yakugaragaze we muoe tu
Kwanza nikuombe samahani kwa ushauri wangu. Pili nikushauri kuogopa akinamama ambao wana watoto maana huwezi kuoa mtu na mtoto. Tatu mtoto kama ni wa kiume akikua takuchapa tu na ndiye atakuwa chanzo cha kuachana na mkeo. Nne mtoto na mzazi wake ni kidole na pete unaweza kuivua ila huwezi kuiacha aslani, nina maana wewe tunza lakini mwisho wa yote atarudi kwa baba yake tu
Ndugu yangu hawa akinamama hututambia pale mahaba yapogeuka shubiri, wanatamba kuwa asibabaishwe atamtunza mtoto wake hata kwa kuza K. Lakini hukimbilia ndugu na jamaa kuomba misaada bila aibu. Mtoto anatunzwa na baba mtu si baba wa kufikia wamjoba, mashangazi au mama wadogo. Achana naye huyo kwa nini ugharamikie mtoto ambaye baba yake yupo hai? Tell her straight kuwa akubaliane na matakwa ya mzazi mwenzie. Ila kumbuka ukubwani ni bakora nusu kwa vile ni wa kike. Angalikuwa wa kiume nisingekushauri uoe (enyailya) maana urafiki na ndoa ni vitu vipo parallel kimahesabuDuuh...! Huyu mtoto ni wakike hilo la kurudi kwa baba yake sina mgogoro nalo shida why should i agree to take someone responsibilities jamaa ana uwezo wake but amegoma kwa mashart aliyoyaweka... Hapo sasa.
Ndugu yangu hawa akinamama hututambia pale mahaba yapogeuka shubiri, wanatamba kuwa asibabaishwe atamtunza mtoto wake hata kwa kuza K. Lakini hukimbilia ndugu na jamaa kuomba misaada bila aibu. Mtoto anatunzwa na baba mtu si baba wa kufikia wamjoba, mashangazi au mama wadogo. Achana naye huyo kwa nini ugharamikie mtoto ambaye baba yake yupo hai? Tell her straight kuwa akubaliane na matakwa ya mzazi mwenzie. Ila kumbuka ukubwani ni bakora nusu kwa vile ni wa kike. Angalikuwa wa kiume nisingekushauri uoe (enyailya) maana urafiki na ndoa ni vitu vipo parallel kimahesabu
Mtoto asiende boarding bado mdogo sana.Pia asiende kwa baba yake,mama wa kambo atamtesa.Wewe kijana,muoe huyo dada na mlee mtoto.Je ungekuwa wewe ungejisikiaje kuachwa kwa ajili ya mtoto?Mpende mtoto,mfanye mwanao.HABARI YA BABA YAKE,ACHANA NAYO!UNAFATILIA ILI IWEJE?MBONA KUNA WANAUME WENZIO WANALEA HADI WATOTO WATATU,TUMIA BUSARA!