Hahahah jamaa itakuwa jogoo hapandi mtungiπKuna jamaa mmoja mtaani kwetu Sasa hivi ana umri zaidi ya 45 ,tangu kijana akiambiwa oa anamind ,mlizungumzia tu mambo ya wanawake anaondoka . Pastor wake alimfuata akamwambia umri unaenda fanya mpango uoe ,jamaa akaacha kabisa kanisa siyo kuhama.
Ana mpenzi??Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu Sasa hivi ana umri zaidi ya 45 ,tangu kijana akiambiwa oa anamind ,mlizungumzia tu mambo ya wanawake anaondoka . Pastor wake alimfuata akamwambia umri unaenda fanya mpango uoe ,jamaa akaacha kabisa kanisa siyo kuhama.
hana kabisa hayo mambo hataki hata kusikiaAna mpenzi??
Acha tu ndugu yangu. Ila wale washkaji sura wameficha sanaAisee Ile connection dogo anafurahia rhythm mpaka anakunja vidole vya mguu
hamna hata anayejua tatizo lake,Ila alikuwa mtu wa mambo ya dini sana katulia anapenda sana kusoma vitabu vya dini ,kuulizwa tu mbona huoi akaacha kabisa kwenda kanisaniHahahah jamaa itakuwa jogoo hapandi mtungiπ
Hamna mtu wa dini ambaye hana nyege unless awe papai bovu!hamna hata anayejua tatizo lake,Ila alikuwa mtu wa mambo ya dini sana katulia anapenda sana kusoma vitabu vya dini ,kuulizwa tu mbona huoi akaacha kabisa kwenda kanisani
na ungekuwa dem ungeshalambwa tyari angalia asije kukuomba tigo, maana skuhiz wanaiita mbususu pori.Habari ya sasa wana jamvi, nimekutana na kisa ambacho kimenichekesha sana.
Ni jamaa mmoja afisa kilimo na mifugo mikoa ya kusini mwa Tanzania huko ndani ndani.
Sasa nilipata ziara ya kikazi huko na kwenda kukaa takribani mwezi mzima, hii ilinifanya kutengeneza marafiki wa hapa na pale na wengi walikua watumishi wa uma walioajiriwa katika wilaya hio mfano walimu watendaji wa vijiji pamoja na watu wa afya.
Sasa siku nilikaa na afisa kilimo na mifugo ni mtu mzima na kanipita kiumri sana yupo kwenye around 45+ lakini kwa taarifa za awali nilizopata yule jamaa hajaoa na hana mtoto.
Nilijaribu kumdodosa juu ya kumuunganisha na wakubwa huko halmashauri ndugu yangu mmoja alosomea mambo hayo ya kilimo na mifugo ili walau ndugu yangu nae apate connection na mambo mengine yaende.
Jamaa alinihakikishia kwamba kuna connection lakini nitaipata kwa sharti moja tu, nimtongozee dada ambae tulikua ziara moja kikazi.
Kiukweli nilicheka sana ila hapo nilitambua kwanini jamaa hajaoa mpaka sasa,pia hio nili iterm kama dharau.
Kama unamsaidia mtu si umsaidie tu? Bora angesema nimpe pesa sio huo upopoma aloniambia.
masela wakizunguzia mada yoyote ya mapenzi anaondoka kabisaHamna mtu wa dini ambaye hana nyege unless awe papai bovu!
Chokorete huyomasela wakizunguzia mada yoyote ya mapenzi anaondoka kabisa