Anataka nimtongozee mwanamke ili nipate connection

Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
2,202
2,000
Habari ya sasa wana jamvi, nimekutana na kisa ambacho kimenichekesha sana.

Ni jamaa mmoja afisa kilimo na mifugo mikoa ya kusini mwa Tanzania huko ndani ndani.
Sasa nilipata ziara ya kikazi huko na kwenda kukaa takribani mwezi mzima, hii ilinifanya kutengeneza marafiki wa hapa na pale na wengi walikua watumishi wa uma walioajiriwa katika wilaya hio mfano walimu watendaji wa vijiji pamoja na watu wa afya.

Sasa siku nilikaa na afisa kilimo na mifugo ni mtu mzima na kanipita kiumri sana yupo kwenye around 45+ lakini kwa taarifa za awali nilizopata yule jamaa hajaoa na hana mtoto.

Nilijaribu kumdodosa juu ya kumuunganisha na wakubwa huko halmashauri ndugu yangu mmoja alosomea mambo hayo ya kilimo na mifugo ili walau ndugu yangu nae apate connection na mambo mengine yaende.

Jamaa alinihakikishia kwamba kuna connection lakini nitaipata kwa sharti moja tu, nimtongozee dada ambae tulikua ziara moja kikazi.

Kiukweli nilicheka sana ila hapo nilitambua kwanini jamaa hajaoa mpaka sasa,pia hio nili iterm kama dharau.

Kama unamsaidia mtu si umsaidie tu? Bora angesema nimpe pesa sio huo upopoma aloniambia.
 
Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
2,347
2,000
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu Sasa hivi ana umri zaidi ya 45 ,tangu kijana akiambiwa oa anamind ,mlizungumzia tu mambo ya wanawake anaondoka . Pastor wake alimfuata akamwambia umri unaenda fanya mpango uoe ,jamaa akaacha kabisa kanisa siyo kuhama.
 
Jimena

JF-Expert Member
Jun 10, 2015
25,700

Ana mpenzi??
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
1,274
2,000
Habari ya sasa wana jamvi, nimekutana na kisa ambacho kimenichekesha sana.

Ni jamaa mmoja afisa kilimo na mifugo mikoa ya kusini mwa Tanzania huko ndani ndani.
Sasa nilipata ziara ya kikazi huko na kwenda kukaa takribani mwezi mzima, hii ilinifanya kutengeneza marafiki wa hapa na pale na wengi walikua watumishi wa uma walioajiriwa katika wilaya hio mfano walimu watendaji wa vijiji pamoja na watu wa afya.

Sasa siku nilikaa na afisa kilimo na mifugo ni mtu mzima na kanipita kiumri sana yupo kwenye around 45+ lakini kwa taarifa za awali nilizopata yule jamaa hajaoa na hana mtoto.

Nilijaribu kumdodosa juu ya kumuunganisha na wakubwa huko halmashauri ndugu yangu mmoja alosomea mambo hayo ya kilimo na mifugo ili walau ndugu yangu nae apate connection na mambo mengine yaende.

Jamaa alinihakikishia kwamba kuna connection lakini nitaipata kwa sharti moja tu, nimtongozee dada ambae tulikua ziara moja kikazi.

Kiukweli nilicheka sana ila hapo nilitambua kwanini jamaa hajaoa mpaka sasa,pia hio nili iterm kama dharau.

Kama unamsaidia mtu si umsaidie tu? Bora angesema nimpe pesa sio huo upopoma aloniambia.
na ungekuwa dem ungeshalambwa tyari angalia asije kukuomba tigo, maana skuhiz wanaiita mbususu pori.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom