DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 10,519
- 21,434
Habari ya sasa wana jamvi, nimekutana na kisa ambacho kimenichekesha sana.
Ni jamaa mmoja afisa kilimo na mifugo mikoa ya kusini mwa Tanzania huko ndani ndani.
Sasa nilipata ziara ya kikazi huko na kwenda kukaa takribani mwezi mzima, hii ilinifanya kutengeneza marafiki wa hapa na pale na wengi walikua watumishi wa uma walioajiriwa katika wilaya hio mfano walimu watendaji wa vijiji pamoja na watu wa afya.
Sasa siku nilikaa na afisa kilimo na mifugo ni mtu mzima na kanipita kiumri sana yupo kwenye around 45+ lakini kwa taarifa za awali nilizopata yule jamaa hajaoa na hana mtoto.
Nilijaribu kumdodosa juu ya kumuunganisha na wakubwa huko halmashauri ndugu yangu mmoja alosomea mambo hayo ya kilimo na mifugo ili walau ndugu yangu nae apate connection na mambo mengine yaende.
Jamaa alinihakikishia kwamba kuna connection lakini nitaipata kwa sharti moja tu, nimtongozee dada ambae tulikua ziara moja kikazi.
Kiukweli nilicheka sana ila hapo nilitambua kwanini jamaa hajaoa mpaka sasa,pia hio nili iterm kama dharau.
Kama unamsaidia mtu si umsaidie tu? Bora angesema nimpe pesa sio huo upopoma aloniambia.