Mzee Mchochezi
Senior Member
- Apr 3, 2018
- 125
- 244
Mkuu kama alihitaji kusuka angekwambia mapema siyo una mwambia aje ndo anakwambia hajasuka. Pasua kichwa huyoDaaah wadada wa uswahilini mbona mnajiendekeza sana mambo yasiyo na tija ?
Mnaigiza Maisha ilihali wengi wenu njaa tupu na mnataka kuishi maisha ghali yasiyoendana na Maisha yenu halisi
Wanaume tunajielewa so masuala mengine mnapotuambia tunawaona kama washamba,maskini wadangaji
Mshikaji wako anataka umtembelee na yupo tayari kukutumia nauli sasa unapoingizia na hela ya kusukia eti huwezi kusafiri ukiwa mchafu una maana gani?
Inabidi ujiongeze vaa wigi nenda mwenyewe anajua majukumu yake na si kuanza kumpangia eti hela ya kusukia sijui nini kwani inagegedwa K au hizo nywele
Sometimes wanaume hatupendi kupewa bajeti kwa vitu visivyo na mantiki.
Badilikeni
Mkuu ukiona masharti hivyo shituka utapigwa pesa ya nauli na hiyo ya kusuka na hatotokea kabisa. Mpotezee huyo pasua kichwaDaaah wadada wa uswahilini mbona mnajiendekeza sana mambo yasiyo na tija ?
Mnaigiza Maisha ilihali wengi wenu njaa tupu na mnataka kuishi maisha ghali yasiyoendana na Maisha yenu halisi
Wanaume tunajielewa so masuala mengine mnapotuambia tunawaona kama washamba,maskini wadangaji
Mshikaji wako anataka umtembelee na yupo tayari kukutumia nauli sasa unapoingizia na hela ya kusukia eti huwezi kusafiri ukiwa mchafu una maana gani?
Inabidi ujiongeze vaa wigi nenda mwenyewe anajua majukumu yake na si kuanza kumpangia eti hela ya kusukia sijui nini kwani inagegedwa K au hizo nywele
Sometimes wanaume hatupendi kupewa bajeti kwa vitu visivyo na mantiki.
Badilikeni
Uboya huo. Wewe toa toa tu hera kiboya harafu ukifika uzeeni uanze kusumbua ndugu zako maana hukuwekeza popoteWee mpee
Wee mpeee
Wee mpeee
Halafu uone