BADILI TABIA nadhani utakuwa umekosea kidogo!Khaaaa mi ningemwambia hana mtoto na sijawahi kubeba mimba yake
acha tuu dada najua na nauthamin upendo na utu wa my hubby amefanya zaid ya alivyotakia kufanya thanks to god kwa kunipa mume wa namna hii nilihofia kumwambia kuhusu usumbufu wa huyo hayawan kwa kuogopa kumuumiza ila kutokana na ushaur niliopata humu itanibid niongee nae kila kitu kuhusu huyo jamaa sijui itakuwaje naomba mungu anielewe i cant say nitaongea nae leo coz itanibid niandae mazingira nakumsoma mud yeke ikoje ila hii wk haitaisha nitaongea nae thanks kwa maombi kwan najua bila mungu haya mambo ni magumuDah mami kisa hiki kinasikitisha sana, Sina huruma na huyo hayawani aliekataa mimba mi ningempoteza kabisa asiniharibie ndoa yangu. Aliharibu usichana wako, na sasa anataka kuharibu ndoa yako.
Ninamhurumia huyu mwanaume hodari, mwema labda kama Yesu, mwenye mapenzi ya dhati, muungwana cjui nimuelezee vipi, aliyekuokota ukiwa umeanguka, akakubeba na kukupa sababu ya kuishi na kukupenda wa dhati. Hastahili kuumizwa kabisa na huyo hayawani, nadhani bunduki yake haikuwa na risasi ndo mana akakimbia mimba...
Nakushauri ongea na huyu mume kuhusu hili, kwavile anakupenda atakuelewa.. acha tuu naujua na nauthamin wema wa mume wangu thats why naogopa kumuumiza kwa kumpa taarif
Nendeni mkapate ushauri wa kisheria...namna ambavyo mtaishi na mdau mwingine ktk ndoa yenu.
namna ya kumuona mtoto na haki za mtoto kwa baba yake mzazi, hakuna namna mtaweza kukwepa... huu ni ukweli mchungu, saa nyingine unaumeza na maisha yanaendelea.
najua na nauthamin upendo na utu wake kwangu thats why niliogopa kumwambia kwa kuogopa kumuumiza ,naahid kuongea nae ndan ya wk hii itanibid niandae mazingira coz sio kitu kidogo hich naomba mungu anielewe natufikie gud solution asante kwa maombi may god bless uYani we dada ukithubutu tu kumuendekeza huyo mwanaume sababu ya woga au tu umekumbuka mapenzi ya zamani,utajuta!tena utalinywa.usidhani huyo kaka ana mapenzi na ww hata akubembeleze vipi.huyo kilichomleta kwako ni matatizo na hakuna compromise hapo.fanya yote ila usikubali kumtoa mtoto au hata ukathubutu mkajadili.hakuna mjadala juu ya kitu ambacho si chake na alishakataa.yani mwambie mimba haikuwa yake kwanza.ila before that..
Naomba umuweke huyo mumeo front person ktk kila jambo.infact hata huyo baba mtoto kuja ofisini ilipaswa ajue.kumbuka mumeo alifiwa na mkewe,ni machungu tosha.hata ingekuwa ww usingetaka mumeo awe na meetings za siri na ex wake.kwa kifupi mumeo ana kifua sana kukubebea mwanao na kukutunzia siri,na the fact that hata ndugu zake hawajui,huyo mume ni sent from heaven aise.u don't need ppo wa JF to tell u that!yani hvi nnavosema,ukae na mumeo umweleze yote.tena yote!sababu akijua haya yote kabla hata wewe mkewe hujamtamkia,itakuwa a very big betrayal na hata kama ulikuwa na nia njema ataona ulitaka msaliti tu.mume wa dizain hyo ni zawadi kwa Mungu tena once in a while umtolee Mungu sadaka ya shukrani.take my word.
Tatu,kama wewe na mumeo ni wasiri,ningeshauri muendeleze tu siri asijue mtu.si ndugu wala wazazi,much as wazazi always wanawatakia mema wanao ila siri zingine ni za wanandoa tu!nasema hvi,sababu nimeona sana hizi situations.coz mtawaambia ndugu,siku mtoto atakuwa mkubwa.nakuapia,hata kabla nyinyi wazazi hamjaamua kukaa na mwanenu kumpa ukweli (coz its obvious hamwezi mwambia ukweli huyo mtoto saiv,mtasubiri akue),ndugu watakuwa wamesharopoka kumwambia.utashangaa tu siku mtoto anakuuliza,mama babangu ni nani.au atakuwa ashaanza mtafuta babake kisiri.trust me,hiyo kitu inaweza isikuume ila itaja muuma sana mumeo.tena sana!in many cases,ndugu ndo wavunja amani wakubwa sana.na in this case lazma watateta mpaka siri haitakuwa siri tena na pia,ukumbuke kuwa ndugu zako wakijua wataipokea ila ndugu wa mumeo kinaweza wauma na wakadevelop chuki kwa mwanao kitu ambacho kitakuuma pia au huko mbele mumeo akaja fariki labda,ndugu wagome kumtambua mwanao wakidai kuwa si damu yao.trust me it'll kill u coz utawaza mumeo hakuwahi mbagua.ila hiyo ndo habari ya ndugu.sikushauri.ikiwezekana ibaki siri btn u two
Yani hili jambo linataka wisdom kubwa coz its gross kuliko unavoweza kudhani.mtangulize Mungu sana.u just have to stand tough for the sake of ur kids na mumeo.ntakuombea pia
^^
Simama kwenye uamuzi wako,,watu tunatafuta watoto wa kusingiziwa hafu yeye anawakataa!
Leo ndo amekuwa mtoto!
Simama hapo hapo usicheze cheze.
^^
ni muhimu sana ukakaa chini na mumeo muliangalie hili swala kwa kina....hi jf mi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29 nikiwa na miaka 24 nilikwa na mahusiano na kijana mmoja nikapata ujauzito lakin yule kijana alikataa niliendelea na maisha kwa mda huo nilikuwa naplan za kuanza kusoma masters so nilianza chuo na mimba ya miezi miwili pale chuo nilikutana na mwanaume mwenye umri wa 37 alikuwa my normal frend baada ya muda nilijikuta nikimueleza kuhusu mimba yangu na ilivyokataliwa alinihurumia ila pia alinipa story kuwa yeye ni mjane mke wake alikufa kwa ajali na walidum kwenye ndoa kwa miaka 6 na hawakubahatika kupata mtoto aliniaidi kulea mimba yangu na baada ya kujifungua tufunge ndoa kwa masharti kuwa mtoto apewe jina lake nilikubali alinidekaza na kunitake care vya kutosha mpaka nikajifungua salama mtoto wa kiume anaye fanana sana na yule janaume la kwanza baada ya kumaliza chuo tulifunga ndoa na nikazaa mtoo mwingine wa kike ana mapenzi ya dhat kwa watoto wote hajawah kubagua wazaz wake na wangu wanajua yule mtoto ni wake sir tunayo ss hv karibun since huu mwaka umeanza yule jamaa amekuwa akinipigia simu anataka mwanae mbaya zaid ananifuata mpaka ofisin nimechunguza nimeambiwa kuwa ameoa ila ni mwaka wa 3 huu hajapata mtoto sipo tayar kumpa mtoto nan jambo ambalo litamuumiza mume wangu je nikimpa jamii including our parents itanichukuliaje as far as they know mtoto ni wa mume wangu pia amekuwa ananitishia kwenda mahakaman kuclaim apewe mwanae mwenye utaalam kidogo wa sheria wanijuze mahakama inaweza kwel kumpa haki ya kumchukua mtoto