Anataka mimba

Ebu jitabulishe kwanza,Umri wako na unafanya kazi au unasoma?..........
 
Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!

Una wasiwasi gani juu ya hilo kama wajua hauko tayari kwa sasa? kuwa muwazi tu mwambie ukweli. Swala kama hili lilishawahi kunikuta miaka ya nyuma ila kilichonisaidia ni kuweka mambo hadharani na kuonesha msimamo.
 
ukimpa mimba inamaana inakubidi uende kujitambulisha na kutoa mahari ukiona umefanya hivyo jua umeoa tayari................ila inaonekana ni mwanaume usiyekuwa na maamuzi
 
Hahahahaaaa!! Agolden opportunity never come thrice bingwa. Gonga mashine chini juu avimbe. Acje akakudharau bingwa. so far nidem wako nauna mipango nae ya kuoana.
 
Kuwa makini isijekuwa ameshanasa tayari
 
Nimemaliza ifm mwaka jana na sasa nafundisha CPB reviews hapa BOT training centre mwanza! Nina miaka 25!

Mkuu kwan gegedo lako lina deadline??

Kwa kifupi anataka kukuwin yan umlaze katika majani mabichi...

Be careful.
 

Mambo mazuri hayataki haraka mkuu..

Amesema wapo katika relationship kwa miezi 5..

Kwa hiyo hapa kinachotakiwa sio mimba. Ni ndoa lakini itayosababishwa na mimba.
 
Huyo anataka ndoa, ndio maana mwanzoni alikuambia hawezi kuzaa nje ya ndoa ili ufanye mambo haraka. Sasa kwa kuwa ameshaingia kwako anataka aone msimamo wako. Fanya haraka upeleke mshenga ukatoe pesa, vinginevyo kuna harufu ya kunyang'anywa na kijana atakayekuwa serious.
 
kampime mimba kwanza alafu ndo umpachike isije ikawa anamimba kama 2mnth alafu anataka kukubebesha mzigo ili uwe unagaramia ,hawa wadada wajanja mno
 
kampime mimba kwanza alafu ndo umpachike isije ikawa anamimba kama 2mnth alafu anataka kukubebesha mzigo ili uwe unagaramia ,hawa wadada wajanja mno

Aisee hii ni big point.
 
Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!

Mh! em mchukue mkapime. hana ujauzito kweli huyo??? taratibu kaka.
 

Huhuu.!inawezekana tayari ipo hyo mimba,si ya kwako na alempa hana time naye,kuna hatari ya kubambikiwa.mind you its just a possibility.explore all angles.akili kumkichwa.
 
wanachuo wanadanganyika sana na maisha ya chuo...hawajui life linakaba vipi mtaan

We mwache waalaa usimpe mimba aje mtaani akae a year uone kama atadai mimba.Hapo kaona shoga yake anamimba basi nae anafata mkumbo....wazembe sana kufikiri hawa watu

Kubeba mimba kwasaabu ya shoga??chuoni??i term it as semi janga.
 
Inawezekana huyo ni muoga wa maisha. Pengine ametokea bush sasa akifikiria baada ya shule atatakiwa kurudi kwao sitimbi basi kichwa kinamuuma. Anataka akishakuwa nauhakika na mimba yako anajua tu baada ya shule atakuganda na hautachomoa. Maisha magumu haya jamani watu wanafikiria zaidi ya mnavyodhani.
 
But kwa sasa ananisumbua sana yaani anataka ujazito ili mradi aitwe mama watoto wangu!

mna negotiation gani kati ya wewe na huyo mwanamke so called demu about marriage?

will she marry you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…