new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,713
- Thread starter
-
- #21
wanachuo wanadanganyika sana na maisha ya chuo...hawajui life linakaba vipi mtaan
We mwache waalaa usimpe mimba aje mtaani akae a year uone kama atadai mimba.Hapo kaona shoga yake anamimba basi nae anafata mkumbo....wazembe sana kufikiri hawa watu
Hunaweza kuta Ana mimba ya mtu mwingine tayari anataka kukuvesha nyago...
Umpe hiyo mimba anayotaka huwezi achia wanaume wenzio wafanye kazi
Sio mpango wangu kupata mtoto sasa!!
we huna mpngo mwenzio anao waachie wenye mipango.
wanachuo wanadanganyika sana na maisha ya chuo...hawajui life linakaba vipi mtaan
We mwache waalaa usimpe mimba aje mtaani akae a year uone kama atadai mimba.Hapo kaona shoga yake anamimba basi nae anafata mkumbo....wazembe sana kufikiri hawa watu
uuuuupsi mimba anataka mbona balaa
nimependa uliposema HUJAMGEGEDA bdo au anahofu labda huna kujoloeo??
nakushauri kaa mweleze malengo yako ya future wewe huna nia ya hit n run
pia mwambie kulea mimba mimba na kitabu sio kazi rahis
My dear, i have been telling her those staff but she dont want to here those stories! Na ndo anamaliza mwaka huu hapo mwezi wa sita na kila wakati ananiulizia uwezekano wa kuja kuishi nami huku mwanza soon akimaliza mtihani wake! But nimekwisha mkataalia proposal yake! sijui kunakitu gani nyuma ya pazia!! Na kama akiendelea itabidi ni mwache aende zake kwa wenye kumudu hzo speed alizo nazo! Na sio kwamba sina gegedeo! Nimegegeda, but now i have decided to settle for my future life na ukizingatia ndo na mwaka mmoja tangu nimalize pale ifm!
Nilitaka aje awe mama watoto wange siku za baadae ila sio kwasasa na ndo maana sijataka hata kushiriki nae! But nashangaa kasi anayokuja nayo hasa kipind hiki anachokwenda maliza chuo!