Habarin za kwenu wana jamvi?? Matumaini mko poa! Jaman nina demu yuko pale ifm! Sasa ni miezi mitano nipo nae kama mpenzi! Na yupo mwaka wa tatu anamaliza mwezi sita! Sasa kwa sasa hv nimeanza kumuona ananisumbua! Maana kila wakat ananiambia anataka mimba eti anataka kuzaa, before wakati hatujawa wapenzi alikua anadai awezi zaa kabla ya ndoa! But kwa sasa ananisumbua sana yaan anataka ujazito ili mradi aitwe mama watoto wangu! Jaman ana ajenda gani ya siri nyuma ya hyo mimba?