The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Thawabu ndio ila matusi je?
Mie namuharibia maisha ama namsave?Wanawake wengi wametoa mimba wakidhani ni solution ya matatizo yao ilihali wamejikuta wakiugua matatizo ya kisaikolojia na kimwili ukiwemo msongo wa mawazo. Nimeshauri sana wadada wengi wasije kujiingiza katika mchezo huu, wengine walisikia na wanashukuru sasa hivi wakiangalia wanao wanalia kwa nini walitaka kuwaua. Wengine walikaza shingo zao sasa wanajuta.
Kila jambo lina matokeo hasi na chanya. Ukitenda hasi ujiandae kupokea hasi. Dhambi/uovu huwa una tabia ya kujizidisha. Huyo mwanamke akubali kuwa alirudi kwenye uzinifu na hayo ndiyo matokeo. Ajikaze kwani daima kuna nafasi ya kujirekebisha. Mara nyingine tunajifunza kupitia makosa yetu na si aibu, aibu hiyo huja tukishindwa kujirekebisha. Nawe mtoa post usimuharibie mwenzako maisha. Akitoa mimba akafikwa na mauti ama kizazi kikaharibika ama akabakia na maumivu ya kudumu ya tumbo baadae yakazaa cancer utafurahi???? Tujifunze kujenga wenzetu na si kuwabomoa.
Na mwisho niwashauri dada zangu kuwa muache vidonge vya uzazi wa mpanga. Hii ni biashara inayowatajirisha watu wachache na daima hawawaambii ukweli. Laiti mngejua mnavyoangamizwa msingetaka hata kuvisikia. Mwili wa binadamu umeumbwa ukijiregulate wenyewe na si kutumia external force. Tumeshapoteza asili yetu kwa kujifanya wajuaji. Hatujiulizi wanyama wasio na utashi kwanini wanapata mimba katika muda sahihi na wanatunza watoto wao katika namna asilia???
Sent using Jamii Forums mobile app
Thawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
akatoe tuThawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma Sent using Jamii Forums mobile app
Ashakua single mother unasema umemshauri kwa sabab ya unyanyapaa does it make any difference akitoa na labelling tayari ishatokea kuwa yeye ni single mother ?? Level of maturity zinatofautiana sana simply ushauri wako ni upuuzi mtupu killing is killing no justification!!!! So kipi bora being a single mother or a killer ???Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.
Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesha mshauri ivyo sizani Kama sisi tuna cha kusemaa .maana sisi atumjui na sizani Kama atakuja umu kusoma ushauri wakati unae mjua usha mshauri ivyo.. It's like Kama ka nafsi kako kana kusuta adi umeona uje utafute huruma umu
Sent using Jamii Forums mobile app
Thawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.
Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wewe ndio umeamua kuwanyanyapaa, mbona unasisitiza sana? Akitoa ndio atakuwa sio singo maza tena?Thawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hamsomi contentHakuna lugha utakayotumia itakayofanya mtu yeyote akuelewe
Kama aliogopa matusi asingefanya mapenzi basi
Ila kumuua kiumbe asie na hatia eti kisa anaogopa kutukanwa ni sababu ya kipumbavu kuwahi kuisikia toka nizaliwe
Ila lastly sisi tutaongea uamuzi unao mwenyewe just fikiria mara mbili mpaka tatu
Shosti itampunguzia kunyanyapaliwaNaona wewe ndio umeamua kuwanyanyapaa, mbona unasisitiza sana? Akitoa ndio atakuwa sio singo maza tena?
Sent using Jamii Forums mobile app