Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Wana jf naomben mawazo jpo kidogo kwa haya yalio nisibu....
Leo nilikuwa ndan na mpnz wangu baada ya kupeana raha msg iliingia kweny simu yangu akatak aisome nikakataa tukanyang'anyana simu hatimae nilifanikiwa kuinusuru simu yangu na hakusoma kitu chochote nikasepa zangu.
Sasa usiku huu amekuwa akituma msg za masikitiko kwa kitendo kilichotokea.
Mimi ninacho waomba wana jf mnipee mawazo kuwa nimpe sababh gan ya mm kutompa simu asome zile text??? Bila kusahau zile text zilikuwa za mpenzi wangu mwingine
Sasa mkuu kama unahuyo mchepuko aliyekutumia text, kama ni bora zaidi kuliko huyo mrembo uliye fanya nae kwanini usibaki na mchepuko?
Kama mchepuko sio bora kwanini usimwache huyo mchepuko.
Sasa kuepusha usumbufu.
Kama unampenda uliyenaye na sio mchepuko, NENDA MUELEZE UKWELI KWAMBA JANA ALIKUWA NI MWANAMKE MWINGINE aliye ni text, naomba samahan mpenz wangu, na mpigie simu yule mchepuko mwambie muachane
Kama unampenda mchepuko zaid, basi huyo anaelalamika muache, usimjibu endelea na mchepuko
Acha kuchezea chezea watoto wa watu, mkuu
Wana jf naomben mawazo jpo kidogo kwa haya yalio nisibu....
Leo nilikuwa ndan na mpnz wangu baada ya kupeana raha msg iliingia kweny simu yangu akatak aisome nikakataa tukanyang'anyana simu hatimae nilifanikiwa kuinusuru simu yangu na hakusoma kitu chochote nikasepa zangu.
Sasa usiku huu amekuwa akituma msg za masikitiko kwa kitendo kilichotokea.
Mimi ninacho waomba wana jf mnipee mawazo kuwa nimpe sababh gan ya mm kutompa simu asome zile text??? Bila kusahau zile text zilikuwa za mpenzi wangu mwingine
Tutakoma kama ndo form 4 wamemalza paper wk hii.
Una akili sana dogo. Nina dada yangu katika bwana, ngoja nitakuitia.Manzi wangu ana free access na simu yangu, muda wowote. Ila siku akinipa notion kwamba huwa anakagua kujua kama mimi ni mwaminifu ama lah, ndiyo siku tuna-sign off.
Hahaha. Amen Chief.Una akili sana dogo. Nina dada yangu katika bwana, ngoja nitakuitia.
wana jf naomben mawazo jpo kidogo kwa haya yalio nisibu....