Inamaana umri huo na mali zote alizonazo kakosa wa kumuoa na mumzalisha hadi akuone wewe???
unafamilia tayari na unaona shimo mbele na bado unataka kutumbkiamo???
Mali tafuta na ukiwa na bidii utafanikiwa tu!
Wee tangaza humu ''jamanii Mkuu wa Kasie popote ulipo naomba kibali cha .........................'' Kazi kwako.
Atakuja tuu kukujibu au ataku PM.
All the best.
Nimekuomba wewe izo namba mkuu??
Au wewe ni P.A wa mleta thread??
Ama ni Legal Representative wake??
Ama una power of attorney kuperfom task in his place??
Basi naomba namba yako wewe,ya Chupi,Bikini au Thong.