mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Hahahahaaa update kibali kutoka meza Juu ndo promo yako itafanyiwa kazi looh
wanawake wa aina hii ni hatari sana. Ukimzalisha tu apate idadi ya watoto anaotaka, ukurasa wa uhusiano na wewe unafutwa kabisa. na watoto inakuwa mali yake. hapo ndio utajua kuwa ulikuwa unatumika. hata hivyo wanaume wanaotumika wapo wengi atawapata tu.
Jamaa haitaj mali ya mwanamke mana yy anajitosheleza,hv kwel wanaume mkiombwa mzae na wanawake ambao haWajabahati kuolewa mtakataa?sasa wanawake walokosa wanaume wasipate watoto maisha yao yote??jamaani kuweni serious hapa!!
Kwanza Mwanamke kukuona wewe ndio wa kumzalia mtoto tu na ingali una familia na watoto wanne ni dharau kubwa,Amekuonaje weye? kwanini hakuolewa miaka yote hiyo,ungetupa sababu. Na kwanini asitafute Mume azae na kuishi naye walee watoto?
kwa hiyo umekubali au umekataa au unanifikiria ofa yangu