kumbe ni rahisi sana kumdaka huyu jamaa,MESTOD nitakutafuta unipe maujanja.wategeshee msiba mwingine, tujalibu kuangalia Muhimbili nani anaumwa zaidi tuweke mitego
Mimi niko hapa msoga kijijini, nimeona nyayo zake zikielekea kwa yule mzee mwenyekiti wa wachawi hapa kijijini ambaye anaitwa karumekenge. Nahisi atakuwa yumo ndani ya vibanda vya huyo mzee akitolewa mikosi ili asisakamwe na wanafunzi.week end hii unaweza kumdaka bagamoyo kwa babu nafikiri ataenda kupiga ramli kucheki joto la kisiasa likoje.
nawaomba watanzania wote mlipo muntafute kilanja mkuu anatafutwa na atuambie mbona ni mtoro darasani,mahudhurio yake yatamfanya afukuzwe shule huyu ni
jakaya mrisho kikwet anatokea bagamoyo mara ya mwisho alionekana brazil wakati darasani walikuwa wanazomeana yeyote atakamuona alipo
amjulishe mwenzakemaana shule haina kilanja na akishapatikana
tumuulize kwa nii asifukuzwe shule kwa utoro.
Naomba kutangaza zawadi nono ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.:a s 41::a s 41:
Mkuu unamtaka vipi; hai au ha.i.a.ti? Nambie upesi nijipange nikamlete vipi.
Wacheni kumsokönoa rais wa tz, kelele za inzi hazimtishi m2 kunya