mwenye mtoto anatembea na RB
tatizo ni utovu wa nidhamu na tofauti za kideen....nahisi huyu binti atakuwa kampokea BWANA YESUHuyu binti anaonekana ni above 18.Ni mtu mzima wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa.Mwambie dingi asiwe na wasiwasi,Naamini kuna mshkaji atakuwa kamtuliza kiaina!
tatizo ni utovu wa nidhamu na tofauti za kideen....nahisi huyu binti atakuwa kampokea BWANA YESU
hata mi nazani hilo ndo tatizo-ndo maana anataka taarifa zirudi msikitini badala ya polisi-Inawezekana huo ndiyo ugomvi wao,ila dingi anataka kupindisha mambo kwamba binti ni mtovu wa nidhamu kwavile binti ameamua kufuata njia anayoamini ni sahihi kwake.