Anatafutwa msimamizi shamba la Mpunga

Anatafutwa msimamizi shamba la Mpunga

HONDA XL

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
138
Reaction score
115
habari ndugu zangu.

natafuta msimamizi wa shamba la mpunga.

majukumu ya kazi.
1. Kusimamia shughuli za shamba la mpunga lenye ukubwa wa ekari 150 kwa kuanzia ulimaji, upandaji, palizi na uvunaji.
2.kusimamia watu wa chini yake watakao kuwa wasimamizi wa vipande vya eneo la ukubwa wa ekari 50 na kuratibu shughuli zao zote.
3. Kusimamia na kuhakikisha vitendea kazi vya shamba ambavyo ni trekta na accesories zake zote zinakaa katika hali ya usalama.
4. Kutoa taarifa ya kazi kila wiki.

Sifa za mwombaji:
1. Mwenye bidii na kujituma
2. Anayeweza kuishi mazingira yeyote ikiwa ni pamoja na kuishi shamba, kambini.
3. Mwenye uzoefu na kilimo cha mpunga.
4.mwenye uwezo wa kupanga kazi na kukubalika kwa wenzake.

Sifa za ziada:
1. Mwenye uzoefu na utumiaji zana za kilimo.

kwa yeyote mwenye kuhitaji au anamjua mtu anayeweza kufanya kazi hii, ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya ziada, aje PM au atume ujumbe mfupi kwenda namba 0756264711.
 
Shamba hilo liko wapi na mshahara kiasi gani?
 
Mkuu cheki PM!!!
 
Dahhhhh.....
Fundi viatu mie, nakosa mambo mob sana huku Ushirombo...
 
Mkuu mbona PM huonekani? Halafu PM yako sijui imefungwa?
Nadhani Pm yako ndo imefungwa. Maana iko na lock, naiona ila hairuhusu reply.

za wengine zote tunachati vizuri ila kwako tu reply haikubali kuna icon ya kufuli.
waweza tuma sms kwa namba hiyo pia. au kunibip, nitakupigia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom