Asilimia kubwa vijana ni pasua kichwa mm nina gori la chips lakini ikija kwenye mauzo siasa kibao lakini vitu vime kwisha yani ukimpata mtu mwelewa n biashara nzuri sana
Mm walipo nitia hasara niki waambia nafunga gori nauza kila kitu mana ni hasara napata hawataki nilifunge.. Kuna mtu akanishauri kuwa wao ndo wanilipe mm basi nika wambia kila siku wanipe 10,000/= wao wata jijuwa wenyewe wata jilipaje wata kuwa wana toa kiasi gani cha hela ya bidhaa ndo mkataba mpya nilio ingia nao
Aisee tunataka tufungue biashara lakini tatizo wauzaji wanaiba sana,mi nilitaka nifungue Grocery sehemu,naambiwa nijiandae kuibiwa kupo,nimerudisha pesa kwenye account...
Aisee tunataka tufungue biashara lakini tatizo wauzaji wanaiba sana,mi nilitaka nifungue Grocery sehemu,naambiwa nijiandae kuibiwa kupo,nimerudisha pesa kwenye account...
Unachp kisema ni cha kweli kabisa ndugu.. Na kama nawe ume ajiriwa basi andika maumivu zaidi mana mda wa ucmamizi wa karibu hutakuwa huna.. Ila usikate tamaa angalia plan B uweze kuwekeza mwanzo huwa mgumu ila baadae ni mteremko tu na uwe mkali kwao kiasi pindi utakapo fungua na kuwatengeneza mashushu wenyewe kwa wenyewe bila wao kuji tambua na kila mtu kwa wakati wake ana kuletea taarifa za mauzo. Aliyo uza kwa siku hiyo arf unaenda una linganisha na za counter wako
Asilimia kubwa vijana ni pasua kichwa mm nina gori la chips lakini ikija kwenye mauzo siasa kibao lakini vitu vime kwisha yani ukimpata mtu mwelewa n biashara nzuri sana
Boss mm kusimamia mwenyewe mwanzo mwisho huwa ngumu mana nina biashara nyingine nayo ifanya.. Ila nilicho fanya kwa sasa nime wapa hesabu kila siku jioni wani letee arf wao watajuwa wenyewe wajilipe shilingi ngapi na hapo hapo watoe hela ya mahitaji ya ofc