amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,297
Acha Tu Wangu Alikua Anaiba Mpaka Mayai Yanayohesabika,ukifata Mahesabu Bla BlaAsilimia kubwa vijana ni pasua kichwa mm nina gori la chips lakini ikija kwenye mauzo siasa kibao lakini vitu vime kwisha yani ukimpata mtu mwelewa n biashara nzuri sana