Kwahiyo humu umeona kuna wanatafuta hizo shughuli au?
Hujajibu nilichokuuliza humu ndiyo ulipoambiwa kuna hao wanaotafuta hizo kazi? Tuanzie hapo kisha nikwambie kwa shemeji palivyo na raha.Mkishakuwa humu ndani mnajikuta mna akili sana,
Ila wacha nikwambie wewe ni mpumbavu sana,
Usijione mjanja kuishi kwa shemeji yako,
Niko hapaanatafutwa kijana anaejua kukaanga chips, kuku, mishkaki, samaki na kutengeneza kachumbari. awe mwaminifu. Eneo n Dar es salaam. kwa maelezo zaidi piga 0762660320
Kwahiyo humu umeona kuna wanatafuta hizo shughuli au?

Punguza kebehi na daharau,Hujajibu nilichokuuliza humu ndiyo ulipoambiwa kuna hao wanaotafuta hizo kazi? Tuanzie hapo kisha nikwambie kwa shemeji palivyo na raha.
Huu sasa nao ni upuuzi dharau ni ipi hapo?Punguza kebehi na daharau,
Sna hivi shemeji yako ana chumba na sebule tu dada akiwa anatinduliwa na wewe unasikilizia hukuHujajibu nilichokuuliza humu ndiyo ulipoambiwa kuna hao wanaotafuta hizo kazi? Tuanzie hapo kisha nikwambie kwa shemeji palivyo na raha.
Sasa aje pm wakati wewe ndo unashida mkuu na no ametoa hapo ni kweli boss akufate PM haya sawa.yupo njoo pm nikupe mawasiliano yake
haujui kama wote humu ni CEO.Kwahiyo humu umeona kuna wanatafuta hizo shughuli au?

haujui kama wote humu ni CEO.![]()
![]()
![]()
![]()