Sophia bavuma
Member
- Jan 12, 2012
- 66
- 6
nipo tayari lakini ya kwenda na kurudi
wewe dada hueleweki! upo tayari wakati kuna post umetoa na wewe unatafuta dada wa kazi kwa mshahara wa 30,000! maajabunipo tayari lakini ya kwenda na kurudi
wewe dada hueleweki!
upo tayari wakati kuna post umetoa na wewe unatafuta dada wa kazi kwa
mshahara wa 30,000! maajabu
thatz is may life uwezijua kwani au nani namtafutia
thatz is may life uwezijua kwani au nani namtafutia
Ni-pm namba Yako!Za siku wana JF nashukuru mimi na shida natafuta sehemu ya kufanya kazi maisha yamekua magumu. Mimi nimesomea masomo ya Secretary hata Stationary nitafanya.
Msaada jamani ni muda sijafanya kazi.
Heee are you serious unatafuta kazi?:A S embarassed:thatz is may life uwezijua kwani au nani namtafutia
nimemjibu ivyo maana nimepost kitu ampacho nilitegemea watanisaidia ndio kwanza wananinanga na maneno mabaya.unawajibu hovyo waajiri wako eenh?
una umri gani binti?
ndio ndugu yangu na shidaHeee are you serious unatafuta kazi?:A S embarassed:
nimemjibu ivyo maana nimepost kitu ampacho nilitegemea watanisaidia ndio kwanza wananinanga na maneno mabaya.
huyo hajui kwa nini nimepost natafuata mfanyakazi ili mimi nitafauta kazi pia.
hujaelewa...wewe dada hueleweki! upo tayari wakati kuna post umetoa na wewe unatafuta dada wa kazi kwa mshahara wa 30,000! maajabu