Wadau JF, Msichana wa kitanzania umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ana diploma ya Journalism.Anatafuta kazi yeyote kama kuuza duka,kusimamia biashara yeyote au kazi yeyote unayoona inafaa kwa umri na elimu yake.Anaishi Arusha mjini ila yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote nchini. Kwa aliye serious naomba tumsaidie apate kazi,tafadhali niPM au tuma email
mbuyi83@yahoo.com .Asanteni..!