zumbemkuu kuna sehemu wanataka dereva ila ni kibarua kutoa gari bandarini ,sasa wanataka classE maana gari ni dizaini nyingi,anyway mwambie anitumie email
gsana6@gmail.com ntamuelekeza ajaribu. Nb: hawataki mdokozi,pia malipo ni sh.elf8 kwa siku,yuko tayari nitafute fasta kazi nje nje!