Anatafuta kazi ya assistant procurement

Anatafuta kazi ya assistant procurement

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Jamani kuna ndugu yupo mtaani huu mwaka sasa. Ana diploma ya procurement and logistic management yenye GPA ya 3.5 kutoka T.I.A yupo tayari kufanya kazi mkoa wowote.
 
Ndugu

Mimi pia nimesoma bachelor ya kozi hiyo hiyo, mpaka leo sijapata kazi.

Mshauri aanze na kazi yeyote kutafuta, hasa related kama marketing, ass acountant, sales, stores mgt, supplies, halafu hata ajitolee , mimi hapa najitolea mahala fulani japo mwanzo sikua napata kitu, lakini sasa napata uzoefu na petty ikija fungu kama kawa japo napata kila baada ya 2month lakini si haba maisha yanaenda, si sawa na kukaa tu, atajikuta anasahau hata siku akienda interview hana kitu kichwani.

Niko naye kutafuta kazi, but namshauri apande japo step niliyopo kwanza wakati anatafuta hiyo aitakayo.
 
Jamani kuna ndugu yupo mtaani huu mwaka sasa. Ana diploma ya procurement and logistic management yenye GPA ya 3.5 kutoka T.I.A yupo tayari kufanya kazi mkoa wowote.

Tafuta Mwananchi ya jana tarehe 25 kuna kampuni siikumbuki jina imetangaza nafasi za kazi kibao ikiwemo na hiyo ya ugavi
 
Back
Top Bottom